Kiswahili

Maelezo


ya chama cha kikomunist

 

(Communist Manifesto)

K . M a r k s ,
F . E n g e l s

 

Tafsiri hii ya "Maelezo ya Chama cha Kikomunist"
inatokana na maandishi ya mchapo wa Kiingereza
wa 1888, uliolengenezwa na F. Engels.
Maandishi hayo yana maelezo ya F. Engels yaliyofanywa
na yeye kwa mchapo wa Kiingereza wa 1888
na mchapo wa Kijerumani wa 1890.
Mchapo huo unakusanya makala zote za ubangulizi
zilizoandikwa na waandishi wa "Maelezo” kwa
michapo yake mbalimbali.


 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Marx na Engels
Kiswahili